iqna

IQNA

IQNA – Kutoka katika ulimwengu wa mitindo mjini Moscow hadi katika mapambano na kifo, maisha ya mwanamke wa Kirusi, Lyudmila Anufrieva, yalichukua mkondo mkubwa na hatimaye yakamfikisha katika Uislamu, ambapo alianzisha taasisi ya Mila For Africa Foundation, inayosaidia watoto wasiojiweza nchini Senegal.
Habari ID: 3480937    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/13

IQNA – Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu amepongeza juhudi za utafiti wa Quran zinazofanywa na Taasisi ya Ibn Sina nchini Russia.
Habari ID: 3480693    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/16

Uislamu Russia
IQNA - Mufti Mkuu wa Jamhuri ya Chechnya katika Shirikisho la Russia Sheikh Salah Mezhiev amekosoa marufuku ya hivi karibuni ya Hijabu na mavazi mengine ya kidini katika shule za baadhi ya maeneo nchini humo, na kuitaja kuwa ni kinyume cha katiba na ukiukaji wa uhuru wa dhamiri na dini.
Habari ID: 3479669    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30

IQNA – Mtu mmoja nchini Urusi (Russia) ambaye alikuwa amepewa kifungo cha jela kwa kuvunjia hesima Qur'ani Tukufu sasa anakabiliwa na shtaka jipya.
Habari ID: 3479535    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu  (ICRO) amependekeza kuanzishwa kwa bunge la Qur'ani la ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479467    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22

Utamaduni
IQNA - Toleo la 20 la Tamasha la Kimataifa la Filamu za Kiislamu la Kazan lilianza katika mji mkuu wa Jamhuri ya Tatarstan ya Shirikisho la Russia siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479399    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/08

Turathi za Kiislamu
IQNA - Msururu wa nakala za kale za Qur’ani Tukufu na athari za Kiislamu zimeonyeshwa kwenye Jumba la Makumbusho la Kazan katika mji mkuu wa Jamhuri ya Tatarstan ya Shirikisho la Russia.
Habari ID: 3478887    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/26

Waislamu Russia
IQNA-Serikali ya Russia imelegeza masharti ya kanuni zinazohusu maombi ya raia wa kigeni wanaoomba uraia, na itaruhusu mwanamke wa Kiislamu kutumia picha za paspoti zinazomuonesha akiwa amevaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo.
Habari ID: 3478767    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04

Utalii
IQNA - Idadi ya watalii Waislamu wanaozuru Russia iliongezeka mwaka 2023 kwa asilimia 15 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hii ni kulingana na Huduma ya Takwimu nchini humo.
Habari ID: 3478244    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

Uislamu Russia
IQNA - Kumekuwa na ongezeko la rekodi la idadi ya misikiti nchini Russia (Urusi) katika miongo ya hivi karibuni, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478034    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/14

Watetezi wa Palestina
IQNA – Toleo la 19 la Jukwaa la Kimataifa la Russia na Ulimwengu wa Kiislamu lilifanyika mjini Moscow huku wazungumzaji wakizingatia hali mbaya ya Gaza.
Habari ID: 3478028    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13

Russia na Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la wanazuoni kuhusu masomo ya Kiislamu limepangwa kufanyika katika mji mkuu wa Russia (Urusi) , Moscow mapema mwaka ujao.
Habari ID: 3475937    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16